Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA leo Ijumaa ya November 10 2017 limetangaza kumuadhibu beki wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea Olympique Marseille ya Ufaransa Patrice Evra kwa kosa la kumpiga shabiki wao wakiwa Ureno katika mchezo wa Europa League.
UEFA wamefikia maamuzi hayo kutokana na kitendo cha Patrice  Evra kumpiga teke shabiki wa Marseilleambaye walipishana maneno wakati wachezaji wa Marseille akiwemo Evra wakifanya warm up kuelekea kuanza kwa game hiyo dhidi Vitoria.
Kufuatia kosa hilo UEFA sasa limemfungia Patrice Evra kutocheza mashindano yoyote ya UEFA hadi mwezi June 2018, taarifa hizo zinakuja siku chache baada ya Marseille kuvunja mkataba na Evra kutokana na kufanya kosa hilo la kumpiga shabiki.
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post
Axact

Axact

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

Post A Comment:

0 comments: